Mamlaka ya udhibiti wa afya ya mimea na viuatilifu (TPHPA) kwa kushirikiana na umoja wa wanafunzi wanaosoma kilimo (TAUSA) katika chuo kikuu cha kilimo SUA waliandaa mafunzo maalum ya kitaaluma kwa wanafunzi wa ndaki ya kilimo kuanzia tarehe 20/2 hadi tarehe 26/2/2023.Jumla ya washiriki 142 kutoka shahada za awali za Horticulture, Agronomy, Extension ,Crop […]