December 31, 2020

Day

SUA and KSCL partnership 2020 2
Uhakika wa ajira imekuwa ni changamoto kubwa inayowakabili vijana wengi wanaohitimu kwenye vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Hatua hiyo imekuwa ikipelekea wahitimu wengi kuzunguka huku na kule wakiwa pamoja na bahasha zao kusaka ajira huku wengine wakifuatilia nafasi za kazi kwenye magazeti ya kila siku kuona iwapo wanaweza kubahatisha kwenye matangazo hayo yanyowekwa kwenye machapisho...
Read More