Kongamano la Nguruwe la Kimataifa 2025 – Tanzania

Ndugu wafugaji ,a wataalamu, Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA), kinawakaribisha kwenye kongamano la kimataifa la nguruwe, litakalofanyika tarehe 11-13 september 2025, katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es salaam, Tanzania.

Tafadhali JISAJILI HAPA

Related Posts

Leave a Reply