August 5, 2025

Day

Ndugu wafugaji ,a wataalamu, Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA), kinawakaribisha kwenye kongamano la kimataifa la nguruwe, litakalofanyika tarehe 11-13 september 2025, katika ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es salaam, Tanzania. Tafadhali JISAJILI HAPA
Read More