Kongamano la Miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika

Kongamano la Miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika litakalofanyika Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), siku ya tarehe 12/12/2023 kuanzia saa nane mchana.

Kauli mbiu: “Miaka 62 ya Uhuru, Kilimo ni Hazina Yetu, Vijana Tunajenga Mustakabali Mpya.”

Mgeni rasmi katika Kongamano hili atakuwa: Mh. Gerald Mweli – Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo.

Wote mnakaribishwa

 

Vilevile Kongamano hili litarushwa mubashara kupitia:

    TBC1

 

    TBC Taifa

 

   TBC online.

 

    SUA FM RADIO

 

The Department of Animal, Aquaculture, and Range Sciences

The College of AgricultureSokoine University of Agriculture

Share this page

Related Posts