Blog

Elimu kuhusu haki ya wanawake Tanzania

Mnamo tarehe 07/03/2024 wana CDA walitumia jukwaa la redio kutoa elimu kuhusu haki za mwanamke kupitia kipindi Cha redio Cha ZOE FM. Kwa ustadi na weledi, waliweza kufafanua kwa kina masuala muhimu yanayohusu haki za wanawake na kuchangia katika kujenga jamii yenye usawa na haki. Kipindi hicho kilileta faida kubwa kwa jamii. Kwanza, kilichochea uelewa […]

Share this

Uzalendo Nguzo ya Maendeleo ya Jamii (UNMJ)

Uzalendo Nguzo ya Maendeleo ya Jamii (UNMJ) is a joint project of AGEN and Community Development Association (CDA). The project is aimed at cultivating the spirit of volunteerism, and patriotism among graduates and ongoing students pursuing the degree of Bachelor of Community Development. CDA was launched at the Department of Agricultural Extension and Community Development of […]

Share this

Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Wilayani Morogoro

Baadhi ya wanafunzi kutoka chuo kikuu cha kilimo SUA kupitia asasi ya maendeleo ya jamii CDA, walishiriki katika tukio la kuupokea mwenge wilayani Morogoro mnamo tarehe 26/04/2024. Hapo chini ni baadhi ya picha za tukio hilo.

Share this

Uzinduzi wa siku ya Mwanamme wa Kitanzania Mnamo tarehe 23 Aprili 2024

Uzinduzi wa siku ya mwanaume wa Kitanzania uliofanyika mkoani Morogoro kwa mara ya kwanza toka nchi ya Tanzania ilipoundwa. Uzinduzi huu umefanyika leo tarehe 23/4/2024, ambapo kila mwaka tutakua tukiadhimisha siku ya mwanaume tarehe na mwezi huo. Lengo kuu la maadhimisho haya, nikutambua mchango na jitihada za mwanaume wa Kitanzania katika kuleta maendeleo ya jamii […]

Share this

Ushiriki katika maadhimisho ya siku ya mwanamke

Mnamo tareh 08/03/2024, wana CDA wameshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani, tukio lenye mvuto na matukio mengi yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi kiwanja Cha ndege. Kwa shauku na hamasa, wamechukua jukumu la kubeba mabango yenye jumbe za kuvutia, yaliyoleta msisimko na kuonyesha mshikamano wao. Shughuli za maonesho zimekuwa dira ya […]

Share this

Presentation And Exhibition On Future Agroecological Food Systems

On 16Th February 2024 at the ICE conference room, Dr. Emma Johansson, a researcher from Lund University Centre for Sustainability studies in Sweden and colleagues from SUA (Prof. Dismas Mwaseba, Dr. Respikius Martin and Kenneth Mapunda) presented the method of participatory art which offers an innovative and creative way to engage with participants when conducting […]

Share this

Community Development Association (CDA) yatembelea manispaa

Leo, Uongozi wa Community Development Association (CDA) umefanya ziara muhimu kwenye Ofisi ya Afisa Maendeleo Manispaa ya Morogoro. Katika mazungumzo yaliyofanyika, lengo kuu lilikuwa kuitambulisha CDA na kujadili uwezekano wa ushirikiano katika shughuli za maendeleo ya jamii. Mazungumzo haya yanaleta faida kadhaa kwa CDA na jamii. Kama kupata ufahamu wa karibu kuhusu fursa za maendeleo […]

Share this

Prof. Mwaseba presents at the Third National Ecological Organic Agriculture Conference

Prof. Mwaseba, Coordinator, Agroecology Hub in Tanzania Project and member of the department, had an opportunity to give a keynote speech at the Third National Ecological Organic Agriculture Conference. His topic was Scaling up Agroecology in Tanzania whose abstract is as follows: In recent years, the dominant industrial or conventional agriculture has been criticized for being […]

Share this

Dr. Madaha participates in a transformative week-long retreat in Dar es Salaam

Dr. Rasel Madaha has an opportunity to participate in a transformative week-long retreat, with staff of CARE International, in Dar es Salaam. The retreat was organized by the Scale Up Farmers Field and Business School project team, in collaboration with CARE USA Global dvocacy Lead, David Manyonga. Under the Higher Education for Economic Transformation (HEET) […]

Share this

JACQUILINE MANDEYE NDOSSI defends her PhD Thesis

The Department would like to congratulate JACQUILINE MANDEYE NDOSSI for defending her PhD thesis. The title of the thesis is, “CONTRIBUTION OF VALUE CHAIN PROGRAMMES TO WOMEN SOCIO-ECONOMIC EMPOWERMENT: A CASE OF THE CAVA PROJECT, MARA REGION, TANZANIA.” The abstract of the thesis is as follows: This study critically analyzed the contribution of value chain […]

Share this