Siku ya tarehe 07/06/2024 Asasi ya Maendeleo ya Jamii (Community Development Association – CDA) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ilifanya tukio la utunzaji wa mazingira katika zahanati ya Uwanja wa Taifa, Morogoro. Shughuli hiyo ilijumuisha ufanyaji usafi, upandaji miti, na ugawaji wa vifaa vya usafi. Afisa Mtendaji wa Kata ya uwanja wa […]
