April 11, 2019

Day

Picture5
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kupitia Taasisi ya Elimu ya Kujiendeleza (ICE) na Idara ya Sayansi za wanyama, ufugaji wa viumbe majini na nyanda zamalisho kimeandaa mafunzo ya ufugaji wa samaki yatakayofanyika mwezi wa tano, 2019.  Kwa maelezo zaidi bofya hapa
Read More