Ziara ya kimasomo ya wanafunzi wa Bsc. Family and consumer studies(FCS) mwaka wa 1 na Bachelor of Textile and clothing with Education ( BTCE) mwaka wa 1
Wanafunzi wakielimishwa juu ya utunzaji wa mazingira kwa kutibu maji yanayozalishwa kiwandani kupunguza kemikali hatarishi kabla ya kumwagwa katika vyanzo vya maji