Ziara ya kimasomo ya wanafunzi wa Bsc. Family and consumer studies(FCS) mwaka wa 1 na Bachelor of Textile and clothing with Education ( BTCE) mwaka wa 1 katika kiwanda cha 21st century Textile ltd. Ziara ikiwa na lengo la kuwasaidia wanafunzi kujifunza zaidi katika sayansi na teknolojia ya uzalishaji wa nguo.



Mwezeshaji wa kiwandani akiwaelimisha wanafunzi mbinu mbali mbali juu za kulinda usalama wa mazingira na wafanyakazi hapa kiwandani.



