Wanafunzi wakielimishwa juu ya utunzaji wa mazingira kwa kutibu maji yanayozalishwa kiwandani kupunguza kemikali hatarishi kabla ya kumwagwa katika vyanzo vya majiRead More
Ziara ya kimasomo ya wanafunzi wa Bsc. Family and consumer studies(FCS) mwaka wa 1 na Bachelor of Textile and clothing with Education ( BTCE) mwaka wa 1 katika kiwanda cha 21st century Textile ltd. Ziara ikiwa na lengo la kuwasaidia wanafunzi kujifunza zaidi katika sayansi na teknolojia ya uzalishaji wa nguo. ...Read More