Ndugu Rajab Fadhili mwanafunzi wa shahada ya maendeleo ya jamii(Bachelor of Community Development) mwaka wa pili kutoka chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo ameitembelea wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wanawake na makundi maalumu.Wizara hiyo zilizopo ndani ya chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). Aidha Fadhili alikutana na Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya usajiri wa mashirika […]
