Blog

Students celebrate the Day of the African Child 2022

On 11th June 2022, students pursuing a Bachelor of Community Development offered by the Department of Agricultural Extension and Community Development celebrated the day of the African Child 2022.

Share this

Dr. Emma concludes her postgraduate assignment at SUA

The Department would like to congratulate Dr. Emma for concluding her postgraduate assignment entitled “Visualizing the future – charting pathways for sustainable development with participatory art and scenario thinking”at the Department.

Share this

Training on Regenerative and Market Oriented Agriculture

The members of the department of Agricultural Extension and Community Development as well as those from ICE managed to get an opportunity to receive special training on nutrition-sensitive agriculture, regenerative agriculture, and market-oriented agriculture. The training exposed staff on required field skills on nutrition-sensitive agriculture, regenerative agriculture, and market-oriented agriculture.

Share this

Call for Papers Tanzania Journal of Community Development (TAJOCODE)

1.0. Introduction Tanzania Journal of Community Development (TAJOCODE) is the peer review and indexed journal of the Department of Agricultural Extension and Community Development of Sokoine University of Agriculture (SUA) publishing original research of high quality. NB: TAJOCODE publishes an ‘open’ volume of unsolicited articles. The ‘open’ volumes follow a publish-as-you-go model, which allows articles […]

Washington State University (WSU) International Development donates

Washington State University (WSU) International Development donated a number of office items on 24th June 2022. The US-based NGO transported the items to the department without any cost to the university. A WSU International Development official known as William accompanied the transporter to oversee the whole process.    

Share this

BCD wazidi kung’ara

Wawakilishi kutoka Bachelor of Community Development wazidi kuongezeka kwenye serikali kuu ya wanafunzi ya SUA. Hii ni baada ya Mwanadada mwingine aitwaye Leyla Nurdin Suleiman kuibuka mshindi kwa kupata kura za ndio katika kinyan’ganyiro cha kugombea ubunge wa Jimbo la hosteli namba 10. Kozi ya maendeleo ya jamii SUA yazidi kujiimarisha kupitia kwa wanafunzi wake […]

Share this

Isack Daniel Ashinda nafasi ya Makamu wa Rais

Uongozi wote wa CDA pamoja na wanachama wote wa CDA tunampongeza ndugu Isack Daniel Jonas kwa kufanikiwa kushinda katika nafasi ya Umakamu wa Rais SUASO; hii ni ishara tosha kuwa wana-BCD (Bachelor of Community Development) na CDA (Community Development Association) kwa ujumla tumeonyesha umoja na upamoja wetu katika kutenda mambo makubwa. Aidha tunapenda kuwapongeza na […]

Share this

Mwenyekiti Msaidizi wa Zamani wa CDA atembelea wizara

Ndugu Rajab Fadhili mwanafunzi wa shahada ya maendeleo ya jamii(Bachelor of Community Development) mwaka wa pili kutoka chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo ameitembelea wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wanawake na makundi maalumu.Wizara hiyo zilizopo ndani ya chuo kikuu cha Dodoma (UDOM). Aidha Fadhili alikutana na Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya usajiri wa mashirika […]

Share this

Mwenyekiti wa CDA Kukutana na New Hope

Mwenyekiti wa Community Development Association (CDA) Ndugu JAMAICA MAGARI Leo alikutana na mkurugenzi wa shirika la NEW HOPE COMMUNITY DEVELOPMENT ORGANIZATION lenye makao yake makuu Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo, ambapo mazungumzo haya yamefanyika kituo cha Maendeleo ya jamii na ufundi stadi kilichopo Mkoa wa morogoro wilaya ya Mvomero kata ya Dakawa. Mkurugenzi […]

Share this