April 26, 2024

Day

Tarehe 25 Aprili 2024, wanafunzi wa Shahada ya Sayansi ya Ufugaji Viumbe Maji, wakiwa Idara ya Shamba la Mfano la Mafunzo (Kitengo cha Ufugaji wa Samaki) wakionyesha umahiri wao kwa vitendo walipokuwa wakifanya zoezi la uvunaji wa samaki aina ya Sato na Kambale. Uvunaji huu wa samaki ulihusisha mchakato wa kuwatenganisha samaki katika makundi mawili makuu:...
Read More