Dume bora wa mbegu wa kisasa aina ya Fresian ambaye ni kwa ajili ya kuzalisha ng’ombe bora wa maziwa anapatikana nanenane kwenye banda la Sokoine University of Agriculture kwenye kitengo cha wanyama cha idara ya Model Training Farm. Dume huyu amekua kivutio kikubwa kwa wageni wengi wanaotembelea mabanda ya SUA Dume huyu anavutia watu wengi kutokana na...Read More