Latest News

Category

The football team of students from the Department of Agricultural Extension and Community Development (DAECD) of the Sokoine University of Agriculture (SUA) has written a new history by winning the SUA Intramural University Competition 2024 cup. The team, which includes students studying Bachelor of Community Development and Bachelor of Agricultural Extension, has shown great competence...
Read More
In a show of unity and solidarity, students of the Bachelor of Community Development degree and those of the Bachelor of Agricultural Extension degree from the Sokoine University of Agriculture (SUA) held a ceremony to welcome freshers in the Department of Agricultural Extension and Community Development. The ceremony was organized by the Community Development Association...
Read More
Mnamo tarehe 07/03/2024 wana CDA walitumia jukwaa la redio kutoa elimu kuhusu haki za mwanamke kupitia kipindi Cha redio Cha ZOE FM. Kwa ustadi na weledi, waliweza kufafanua kwa kina masuala muhimu yanayohusu haki za wanawake na kuchangia katika kujenga jamii yenye usawa na haki. Kipindi hicho kilileta faida kubwa kwa jamii. Kwanza, kilichochea uelewa...
Read More
Uzalendo Nguzo ya Maendeleo ya Jamii (UNMJ) is a joint project of AGEN and Community Development Association (CDA). The project is aimed at cultivating the spirit of volunteerism, and patriotism among graduates and ongoing students pursuing the degree of Bachelor of Community Development. CDA was launched at the Department of Agricultural Extension and Community Development of...
Read More
Baadhi ya wanafunzi kutoka chuo kikuu cha kilimo SUA kupitia asasi ya maendeleo ya jamii CDA, walishiriki katika tukio la kuupokea mwenge wilayani Morogoro mnamo tarehe 26/04/2024. Hapo chini ni baadhi ya picha za tukio hilo. Share this
Read More
Uzinduzi wa siku ya mwanaume wa Kitanzania uliofanyika mkoani Morogoro kwa mara ya kwanza toka nchi ya Tanzania ilipoundwa. Uzinduzi huu umefanyika leo tarehe 23/4/2024, ambapo kila mwaka tutakua tukiadhimisha siku ya mwanaume tarehe na mwezi huo. Lengo kuu la maadhimisho haya, nikutambua mchango na jitihada za mwanaume wa Kitanzania katika kuleta maendeleo ya jamii...
Read More
Mnamo tareh 08/03/2024, wana CDA wameshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani, tukio lenye mvuto na matukio mengi yaliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi kiwanja Cha ndege. Kwa shauku na hamasa, wamechukua jukumu la kubeba mabango yenye jumbe za kuvutia, yaliyoleta msisimko na kuonyesha mshikamano wao. Shughuli za maonesho zimekuwa dira ya...
Read More
On 16Th February 2024 at the ICE conference room, Dr. Emma Johansson, a researcher from Lund University Centre for Sustainability studies in Sweden and colleagues from SUA (Prof. Dismas Mwaseba, Dr. Respikius Martin and Kenneth Mapunda) presented the method of participatory art which offers an innovative and creative way to engage with participants when conducting...
Read More
Leo, Uongozi wa Community Development Association (CDA) umefanya ziara muhimu kwenye Ofisi ya Afisa Maendeleo Manispaa ya Morogoro. Katika mazungumzo yaliyofanyika, lengo kuu lilikuwa kuitambulisha CDA na kujadili uwezekano wa ushirikiano katika shughuli za maendeleo ya jamii. Mazungumzo haya yanaleta faida kadhaa kwa CDA na jamii. Kama kupata ufahamu wa karibu kuhusu fursa za maendeleo...
Read More
Prof. Mwaseba, Coordinator, Agroecology Hub in Tanzania Project and member of the department, had an opportunity to give a keynote speech at the Third National Ecological Organic Agriculture Conference. His topic was Scaling up Agroecology in Tanzania whose abstract is as follows: In recent years, the dominant industrial or conventional agriculture has been criticized for being...
Read More
1 2 3 4 17