Idara ya Lishe na Sayansi ya Mlaji SUA yakutana na wadau kutoka Sekta mbalimbali nchini kwaajili ya maboresho na ukuzaji wa Mitaala Na, Ayoub Mwigune Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kupitia Ndaki ya Kilimo, Idara ya Lishe na Sayansi ya Mlaji imekutana na wadau mbalimbali wakiwemo waajiri kutoka Sekta mbalimbali wanaohusika moja kwa […]