Uncategorized

Category

The Department of Model Training Farm under the College of Agriculture, Sokoine University of Agriculture, on thursday 26, received first year students 2023/2024, who were in the oriantation week,  Students got the chance to visit all the units found under the Model farm Department which are Magadu animal Unit, Aquaculture unit, Main gate and Horticulture...
Read More
Wanafunzi wa mwaka wa pili katika kozi za uhandisi wa kilimo na uhandisi wa umwagiliaji, wakiwa katika masomo kwa vitendo( Field Practicals), wameshiriki katika ujenzi wa canal ya umwagiliaji katika kitengo cha bustani kilicho chini ya idara ya shamba la mafunzo. Ujenzi huo ulianza kwa kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni pamoja kufanya survey, pamoja na...
Read More
Zanzibar Students from Benbendell secondary school and their stuff visited at Sokoine University of Agriculture in Aquaculture unit MTF acquire some of the knowledge on how farming is conducted for the beginners farmer they studied about different Aquaculture system like recycle ting Aquaculture system RAS also they study about how Nile tilapia hatchery works and...
Read More
Kuanzia Leo tarehe 30/08/2023 na kuendelea idara ya shamba la mafunzo inauza ndizi za aina mbalimbali kama vile mzuzu, malindi, malembo, mshale na nyingine nyingi.   Tunawakaribisha jumuiya yote kufika katika duka la idara ya shamba la mafunzo kwa ajiri ya kujipatia ndizi nzuri kabisa Ndugu mteja unaehitaji kwa wingi pia unakaribishwa kuweka oda yako...
Read More
Model Training farm (horticulture unit) under the College of Agriculture at Sokoine University of Agriculture(SUA). On 29 July 2023 we were graced to receive visitors from Sega secondary school where we received both students and staff members. The main objectives of their tour at Horticulture unit was to see various botanical plants found at Horticulture...
Read More
Today we were graced to have visitors, students and staff from St. Wilbalda Secondary School- Korogwe here at Sokoine University of Agriculture at the Model training Farm, where they learnt many things from different Units. First off the visitors started at the aquaculture unit were they learnt everything about aquatic organisms and ecosystems which was very...
Read More
Dume bora wa mbegu wa kisasa aina ya Fresian ambaye ni kwa ajili ya kuzalisha ng’ombe bora wa maziwa anapatikana nanenane kwenye banda la Sokoine University of Agriculture kwenye kitengo cha wanyama cha idara ya Model Training Farm. Dume huyu amekua kivutio kikubwa kwa wageni wengi wanaotembelea mabanda ya SUA Dume huyu anavutia watu wengi kutokana na...
Read More
Duka la shamba la mafunzo SUA Linatoa huduma za uuzaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo mboga mboga matunda na Miche ya matunda mbalimbali Kwa Sasa tupo kwenye maonyesho ya nanenane unakalibishwa kupata bidhaa Kwa bei nafuu kabisa kama kabeji, cauliflower, broccoli Kwa elfu moja tu pesa za kitanzania lakini pia Kuna matunda jamii ya pomelo WA...
Read More
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda ametembelea banda la Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nanenane Kanda ya Mashariki ambapo pamoja na mambo mengine Mhe. Pinda ameweza  kupata maelezo mbalimbali kuhusu shughuli zinazofanywa na Chuo hicho. Akiwa kwenye Banda la Idara ya shamba la...
Read More
Wakulima na wafugaji wa samaki wametakiwa kufika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) ili kujipatia mbegu bora za vifaranga vya samaki kwa kuwa mbegu zinazotumika katika uzalishaji wa vifaranga hivyo ni za uhakika. Wito huo umetolewa Agosti 4, 2023 na Afisa Mafunzo wa Kitengo hicho Bi. Stella Genge wakati akizungumza katika Maonesho ya Wakulima,...
Read More
1 37 38 39 40 41