WANAFUNZI WA UHANDISI WA KILIMO NA UHANDISI WA UMWAGILIAJI WAJENGA MFEREJI WA UMWAGILIAJI SUA

Wanafunzi wa mwaka wa pili katika kozi za uhandisi wa kilimo na uhandisi wa umwagiliaji, wakiwa katika masomo kwa vitendo( Field Practicals), wameshiriki katika ujenzi wa canal ya umwagiliaji katika kitengo cha bustani kilicho chini ya idara ya shamba la mafunzo.
Ujenzi huo ulianza kwa kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni pamoja kufanya survey, pamoja na hatua zote za ujenzi kufuatwa huku wakisimamiwa kwa ukaribu na wataalam

Mawasiliano 0743677370

Related Posts